Katika makala ijayo ya Vijana mchakamchaka tunajadili mtindo wa wanaume kujipaka mafuta ya kufanya ngozi yao kuwa nyeupe, na kutumia bidhaa za urembo wanazotumia wanawake. Mbona wanataka ngozi yao kuwa nyeupe? inapendeza zaidi? Umewahi kutumia au unatumia mafuta hayo? Tupe maoni yako.
Monday, February 27, 2017
WANAUME TUNAOTAKA WEUPE FUNHUWA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi Summary Ni nyakati ambazo Rais John Magu...
No comments:
Post a Comment