Thursday, June 7, 2018

JEUNA ISHAURI NN HII JAMII YA MANGBETU

#FAHAMU Watu wa jamii ya 'Mangbetu' ambao walikuwa wakipatikana katika msitu wa Kongo, walikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo’, lakini baadaye iligeuka kuwa kama urembo.
Kwenye jamii hiyo mtoto akizaliwa hufungwa na kitambaa kigumu kwa nguvu akiwa bado mchanga, ili kuwezesha fuvu lake la kichwa kuchongoka na kuwa refu.
Utamaduni huu ulikuja kupotea baada ya wabelgiji kuanza kuwatawala na mpaka sasa haupo tena.
Hii kwako imekaaje!!? Toa maoni yako kisha share na wana

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji