Showing posts with label mohd mussa omar. Show all posts
Showing posts with label mohd mussa omar. Show all posts

Monday, March 30, 2015

Historiya fupi ya muandishi

Katika maisha yangu ya kilasiku napendele kuweza kuipasha habari jamii yangu ili kuweza kugundua ni changa moto ambazo zina tokea katika jamii yetu na muono wangu napenda sana kuwa shauri vijana wezengu waweze kuwa na mbinu mbadala kutokana na changamoto zinazo tokabili katika maisha yetu ya kilasiku na vilevile zamira yangu ni kuweza kuja kuwapa mafunzo kizazi kinacho kuja juu ya swala zima mitandao ya kijamii ambayo ni changamoto kubwa inayo tukabili katika jamii yetu,sihivyo tu pia natowa mafunzo mbali mbali ya mitandao ya kijamii na kuweza kuwapatia jamii website na blog kwa bei nafuu kwamawasiliano zaidi piga number 0714244449

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji