Hali ya wasiwasi imeendelea kuwepo nchini Afrika Kusini baada maduka kadhaa pamoja na nyumba zinazomilikiwa na wahamiaji kuchomwa moto na baadhi yao kujeruhiwa kutokana na vurugu zilizotokana na chuki dhidi ya wageni. Matukio hayo yanatokea katika baadhi ya miji mkubwa kama Johannesburg na Pretoria. Kwa mengi zaidi ungana na Sudi Mnette kwenye matangazo yetu ya saa 12 jioni.
No comments:
Post a Comment