Monday, February 27, 2017

RAISI WA MAHAKAMA YA KITAIFA ICC

Rais wa Mahakama Kimataifa ya Uhalifu ya ICC, Silvia Fernandez De Gurmendi anafanya ziara ya kukutana na waathirika wa vita dhidi ya waasi wa LRA kaskazini mwa Uganda. Lengo la ziara yake ni kujionea mwenyewe hali ilivyo baada ya kupelekwa usaidizi wa kimatibabu kwa watu hao kuondokana na majonzi na unyanyapaa na pia kujikimu kimaisha kutokana na miradi ya kuingiza mapato chini ya mfuko maalum. ICC ina jukumu la kuwasaidia wahanga kutokana na kesi inazoendesha pamoja na uchunguzi unaofanywa

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri