Friday, February 10, 2017

Hebu funguwa hapa upate mapya

Jamani wadau siitaji matusi wala kejeli naombeni ushauri,nlikua na mpenzi wangu tulipendana sana na tulidumu kwa miaka miwili katika uhusiano ndipo nlipoanza kugundua makucha yake baada yakusoma sms kwenye simu yake aliyo andikiwa yakimapenzi na baada yakumuuliza aliniambia ni mfanyakazi mwenzake nlifanikiwa kukuta sms hizo mara tatu na siku nyingine akakosea sms aliyokua akimtumia mtu mwingine ya kimapenzi na kuja kwangu nlipomuulza alikasirika na kunijbu ni rafiki yake na mara na hata nlipojaribu kumwangalia kwenye mitandao yakijamii nlikuta posti za ajabu na nkaamua kumpotezea ila nashindwa kwani nampenda sana .Nifanyeje ili niweze kumsahau

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri