Tanzania: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA, imewaamuru Millard Ayo, Issa Michuzi na Global Publishers kusitisha kurusha video za habari kwenye mtandao. Waliotajwa ni wamiliki wa Ayo TV, Michuzi TV na Global TV. TCRA imesema inaandaa sheria zitakazoratibu urushaji wa video kwenye mitandao kama Youtube, Facebook na Twitter.
No comments:
Post a Comment