Tuesday, February 7, 2017

HABARI ZILIZO FIKA HAPA PUNDE

BBC Swahili
Katika Amka Na BBC asubuhi hii...
Wakati uchaguzi wa Rais ukifanyika leo nchini Somalia, milipuko yasikika usiku wa kuamkia leo, mjini Mogadishu.
Mahakama nchini Marekani yasikiliza rufaa iliyowasilishwa kuhusiana na 'marufuku ya safari' iliyowekwa na Rais Donald Trump.
Umoja wa Mataifa waonya juu ya mapigano yanayoendelea Sudan kusini kuwa yanaweza kusababisha maafa makubwa.
Na Utasikia mwanamke pekee anayefanya shughuli za uvuvi katika visiwa vya Ukara, Tanzania.
Usikose kuwa nasi muda mfupi ujao katika AMKA na BBC

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji