Tuesday, March 15, 2016

YUMBA YA MAKAZI BINAFSI YA KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR YASHAMBULIWA KWA MRIPUKO MUANDISHI WETU MOHD MUSSA

NYUMBA YA MAKAZI BINAFSI YA KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR YASHAMBULIWA KWA MRIPUKO.
Siku nne kabla ya uchaguzi mkuu wa marudio Zanzibar hali kisiwani Zanzibar inaanza kuwa tete baada ya watu wasiojulikana kulipua nyumba ya mkuu wa jeshi la polisi Zanzibar iliyoko kijichi wilaya ya Magharibi Zanzibar.
Watu wasio julikana wamerusha bomu na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi Zanzibar,Hamdani Omar Makame eneo la Kijichi.

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji