NUKUU : "Nimewateua ninyi (Wakuu wa Mikoa) muende mkawatumikie Wananchi na sio kwenda kufanya siasa. Ilinichukua muda sana kuteua kwa sababu nilitaka kujihakikishia kua ninateua watu makini. Mkienda Mikoani, hakikisheni Watumishi hewa katika Halmashauri wanaondolewa kwani tunapoteza fedha nyingi sana kulipa Watumishi hewa. Mkurugenzi yeyote wa Halmashauri atakaeshindwa kutekeleza hili ndani ya muda huu atakuwa amejifukuzisha kazi".
Tukiachana na itikadi za kisiasa, kwa Utendaji wake unampa asilimia ngapi??
Tuesday, March 15, 2016
UKUU : "Nimewateua ninyi (Wakuu wa Mikoa) muende
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi Summary Ni nyakati ambazo Rais John Magu...
No comments:
Post a Comment