Sunday, March 13, 2016

Soma vizuri mbwana shamata anavyo........

VITA KALI YA KUWANIA KIATU CHA MFUNGAJI BORA ULAYA (European Golden Shoe)
Vita isiyohusisha silaha, Vita isiyokuwa na ugomvi ni vita ya kumtafuta nani ni mfumania nyavu hodari zaidi ktk ligi mbalimbali Ulaya...
Tuzo hii hutolewa kwa mfungaji bora Ulaya katika mechi za ligi tu na kwa kutumia vigezo maalum kutokana na ubora wa ligi..
*Magoli ya wachezaji wanaotoka ligi tano bora huzidishwa kwa factor ya 2. Ligi za
England, Germany , Spain, Italy na
Portugal ndizo magoli ya wachezaji wao huzidishwa kwa 2 ili kupata points. Kwa mf. Vardy amefunga magoli 19 = 19x2 unapata pts 38
*Ligi zilizo katika rank ya 6 hadi 21 kwa ubora magoli yao huzidishwa kwa 1.5. Kwa mf. Mbwana Samatta anaechezea ligi ya Belgium = 1x1.5 = pts 1.5
*Na ligi zilizobaki huzidishiwa kwa 1.
Na hii ni list ya wanapiganaji bora wanaokimbizana kuwania tuzo ya mfungaji bora Ulaya
Cristiano Ronaldo 27x2 = pts 54
Gonzalo Higuain 26x2= pts 52
Luis Suarez 26x2= pts 52
Jonas 26x2= pts 52
Robert Lewandowski 24x2= pts 48
Leo Messi 22x2= pts 44
Pierre-Emerick Aubameyang 21x2= pts 42
E. Zahavi 27x1.5= pts 40.5
Neymar 20x2= pts 40
NB: Jonas anachezea Sport Lisboa e Benfica ya Ureno.
Zahavi anachezea Maccabi Tel Aviv ya
Israel
Mchezaji wa timu yako ni miongoni mwa hawa???
Unadhani nani ataibuka mbabe kati ya hawa wakali??!

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji