Thursday, March 10, 2016

Wanajeshi wa Korea Kaskazini wamerusha makombora mawili

Wanajeshi wa Korea Kaskazini wamerusha makombora mawili ya masafa mafupi katika masharikiya bahari ya Korea Kusini jeshi ilitoa habari Alhamisi.
Shirika la habari la Yonhap alinukuliwa ikisema kwamba jeshi la nchi hiyo ilirusha makombora mawili ya masafa mafupi saa kumi asubuhi kutoka kaskazini ya mkoa wa Hwanghae na makombora hayo kugonga maji kaskazini ya mji wa bandari ya Wonsan pwani ya mashariki ya nchi hiyo.

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji