Sunday, March 13, 2016

Soma hii ucheke ...........

KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NDIYE KATIBU MKUU MSOMI KULIKO WOTE DUNIANI
Katibu Mkuu mteule wa CHADEMA Dr.Vincent Mashingi ndiye Katibu Mkuu wa chama cha siasa ambaye ni msomi zaidi kulinganisha na Makatibu wengine wa vyama vya siasa duniani.
CV YAKE KWA UFUPI.
JINA: Dr.Vincent Mashingi
UMRI: Miaka 43
KABILA: Msukuma
TAALUMA: Daktari bingwa wa binadamu (MMED) na Daktari wa Falsafa (PhD).
ELIMU:
1981 - 1987 Elimu ya Msingi (Shule ya msingi Iligamba)
1988 - 1992 Elimu ya Sekondari (St.Pius seminary)
1992 - 1994 A-Level PCB (Mzumbe High School).
1995 - 2001 Chuo Kikuu cha Makerere (Degree ya Udaktari MD)
2003 - 2005 Chuo Kikuu Kishiriki Muhimbili (Shahada ya pili - udaktari bingwa (MMED Anaesthesiology).
2004 - 2004 Chuo Kikuu Kishiriki Muhimbili (Astashahada ya Utafiti)
2008 - 2010 Evin School of Management (Shahada ya Uzamili (Masters) ya Public Relations (CSR)
2007 - 2010 Blekinge Institute of Technology (Shahada ya pili (Masters) ya Usimamizi wa biashara, MBA)
2010-2010
University of Carlifonia - Anderson School (Stashahada ya Management Development)
2008 - 2008 University of Maryland School of Medicine (Astashahada Human Virology)
2010 - 2016 Chuo Kikuu Huria Tanzania (Shahada ya uzamivu (PHD) ya Uongozi.
UZOEFU WA KITAALUMA,
2001 2002, Daktari wa mazoezi - Intern doctor (Hospitali ya taifa Muhimbili).
2002 - 2003, Mtafiti wa kujitegemea (Freelance Researcher).
2003 - 2005, Daktari (Hospitali ya Taifa Muhimbili)
2005 - 2006, Daktari bingwa (Hospitali ya Regency).
2006 - 2008, Msimamizi wa mradi (Shirika la kimataifa la afya IMA World Health)
2008 - 2016, Mshauri wa tiba (TB and HIV), Shirika la afya la Kimataifa la IMA WorldHealth.
NB:
Msaada kwa wafuasi wa chama chakavu ambao definately watakua wanaona "mapichapicha" kwenye elimu ya Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA. Ili kuwasaidia wanaweza kukariri kwamba GS mpya wa mmoja.

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri