Wednesday, March 9, 2016

Mamlaka ya mapato tazania...........

# Habari :Mamlaka ya mapato Tanzania bara kwa kushirikiana na wenzao wa Zanzibar wamefanikiwa kuvunja lengo la serikali la kukusanya kodi kwa mwezi February mwaka huu baada ya kuweza kukusanya shilingi trilioni moja nukta sifuri nne badala ya shilingi trilioni moja nukta sifuri mbili.

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri