Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) siku ya Jumanne lilionyesha masikitiko kwa sababu ya majibu ya Ulaya na Uturuki juu ya mgogoro wa wahamiaji unaohusisha kutuma wahamiaji wote walikotoka bila kuzingatia ulinzi wa wakimbizi chini ya sheria za kimataifa, msemaji wa Umoja wa Mataifa alisema.
Hata hivyo,inakaribisha mchango wa kifedha wa EU wa kusaidia Uturuki na jamii za wakimbizi katika Uturuki, msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric alisema.
Kulingana na vyombo vya habari EU na Uturuki zilikubaliana na mpango ambayo itatuma watu wote wanaoingia Ugiriki kutoka Uturuki warudi Nchini Uturuki.
Wednesday, March 9, 2016
Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Ili kuweza kuweza kumlainisha mpenzi wako chumbani ni lazima umnyenyeke yeye kama yeye na maneno malaini kama..,...............................
No comments:
Post a Comment