Ulijua kama mwewe wanaweza kumwinda hata sungura!
Kama hapa huyu sungura aliponea tundu la sindano katika eneo la Central Valley California, kule nchini Marekani.
Baada ya kupambana kwa sekunde kadhaa na mwewe sungura mjanja aliponyoka na kutoka mbio kama risasi huku mwewe naye akienda kulala njaa!
Wednesday, March 9, 2016
Penye utani usirias haukosi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi Summary Ni nyakati ambazo Rais John Magu...
No comments:
Post a Comment