ALIEKUWA Mjumbe
wa mkutano mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM ‘UVCCM’ taifa wilaya ya
Bukoba mjini Mkoa wa Kagera Tanzania bara, Massoud Mohamed Ali
akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa kuikubali katiba inayopendekezwa,
kwenye kongamano la katiba hiyo lililoandaliwa na CCM Jimbo la Ole, na
kufanyika uwanja wa Gombani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment