VIONGOZI wa
CCM wa matawi, wadi kutoka Jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba
wakimsikiliza aliekuwa Mjumbe wa mkutano mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM
‘UVCCM’ taifa wilaya ya Bukoba mjini Mkoa wa Kagera Tanzania bara,
Massoud Mohamed Ali akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa kuikubali katiba
inayopendekezwa, kwenye kongamano la katiba hiyo lililoandaliwa na CCM
Jimbo la Ole, na kufanyika uwanja wa Gombani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment