Monday, November 16, 2020

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi

Saturday, October 24, 2020

MAGUFULI ATOWA HUTBA NJEMA KWA CCM

Mimi sitokuwa Rais wa Maisha lakini natoa ujumbe kwa ambao watakuja katika Maisha ya leo na baadaye hili liwe fundisho, hata Nchi zilizoendelea Mashirika yao ya Reli hawajabinafsisha, ibaki kuwa ndani ya Serikali na huduma itawafikia wanyonge “- Rais Magufuli 
-

YAJAYO NI NEEMA TUPU

Mabalozi wapeni wananchi matumaini kuwa yale yote ninayoongea yanatoka moyoni mwangu. #kurakwamwinyi #mwinyi2020 #yajayonineematupu

Thursday, June 7, 2018

READ MORE IN THIS PLACE

to the one who likes youth development and ask me to be able to reach my goal of crossing through networks through social networking because I have a big dream to be an example to other teenagers that social networks are likely to be unemployed for young people when the focus is on
www.mohdmussaomar72@gmail.com
phone number 0714244449
by mohd mussa omar

JEUNA ISHAURI NN HII JAMII YA MANGBETU

#FAHAMU Watu wa jamii ya 'Mangbetu' ambao walikuwa wakipatikana katika msitu wa Kongo, walikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo’, lakini baadaye iligeuka kuwa kama urembo.
Kwenye jamii hiyo mtoto akizaliwa hufungwa na kitambaa kigumu kwa nguvu akiwa bado mchanga, ili kuwezesha fuvu lake la kichwa kuchongoka na kuwa refu.
Utamaduni huu ulikuja kupotea baada ya wabelgiji kuanza kuwatawala na mpaka sasa haupo tena.
Hii kwako imekaaje!!? Toa maoni yako kisha share na wana

Saturday, June 2, 2018

KARIBU KATIKA KUJIFUNZA FUNGUWA HAPA KUWEZA KUPATA MAELEZO


KWA WALE WANA TAKA MAFUNZO YA KUCHO PIKO KWA BEI NAFUU PITIA KURASA HUU KISHA WEKA IME AU NAMBA YA SIMU WATOWA HUDUMU WAWEZE KUKUFIKI KWA HARAKA

Thursday, May 24, 2018

R.I.P KAMA UNA MKUBALI USIACHE KUPITA HAPA KWA

R.I.P AGNESS TOKEA AFARIKI NI MWEZI MMOJA SASA JE KAMA WEWE NI MPENZI WA HUYU BINTI TUMA NENO MOJA KAMA ISHARA YA UPENDO .

Friday, May 11, 2018

Kama ni kijana usipitwe na huu ukurasa

# MAANA YA KIJANA
MAANA YA KIJANA IMEFAFANULIWA NA SERA NA SHERIYA MBALIMBALI KWA NA KWAKUANZA NA SERA YA MAENDELEO YA VIJANA YA ZANZIBAR YA MWAKA #2005 VIJANA WAMEELEZEWA NI WATU WOTE(# MWANAMKE NA # MWANAUME)
WENYE UMRI KUAZIA MIAKA #15 HADI #35 SERA YA MAENDELEO YA VIJANA YA TANZANIA BARA YA MWAKA 1997 NAYO PIYA IMEFAFANUA MAANA YA NENO KIJANA KWA KUELEZA YA KWAMBA KIJA NI MTU AU WATU WENYE UMRI WA MIYAKA #15 HADI #35
HIYO BASI KUONEKANA YA KWAMBA KIPIMO NA KIGEZO CHA MSINGI KINACHO ZINGATIWA KATIKA KUFAFANUWA ANA YA NENO KIJANA KWA MUJIBU WA SERA ZOTE MBALMBALI KIMEEGEMEA ZAIDI KWENYE UMRI WA MTU AU WATU.

Tuesday, May 1, 2018

ZANZIBAR COMEDY

Kuna wengi wanataka kuigiza lakini frusa ndiyo kikwazo cha mawazo yao je kama wewe unapenda sanaa unatowa umshauri gani

Saturday, April 14, 2018

Thursday, March 29, 2018

HEBU SOMA VIZURI HAPA

Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU) wakiongea na Mabalozi kutoka nchi mbalimbali kuhusu hali ya siasa nchini Tanzania na kutofikishwa Mahakamani kwa Viongozi wakuu wa CHADEMA walioko mahabusu.
Toa maoni yako

Sunday, March 25, 2018

Ipe Jina Moja Tu hii Familia..... Simba BinLaden Kama ni Kufunga Ndoa unatamani Nifunge Mwezi Gani Naomba Maoni Yako Hapo Chini share kwa wingi nipate maoni ya wengine Pia. Napitia Comment zote Nitazopenda Nitakujibu inbox Hii ni Maalum Pekee kwa Mashabiki Wangu wa Damu #BLOODFANS Kuwa wa Kwanza uangalia Video zangu Zote Mpya na Kama Ulikosa Video Za show Zangu Zote Nimekuwekea Video Zote Kuangalia Rahisi Kabisa Fuata Link ya Blue Hapa Chini Kisha Install Kuangalia Video Nzima Bofya Hapa==>http://udaku.tzwire.stream/?p=211 share kwa wingi Leo Niko Online Nasoma Comment Zote na nitazijibu inbox zitakazokuwa nzuri..!!

Ipe Jina Moja Tu hii Familia..... Simba BinLaden Kama ni Kufunga Ndoa unatamani Nifunge Mwezi Gani Naomba Maoni Yako Hapo Chini share kwa wingi nipate maoni ya wengine Pia. Napitia Comment zote Nitazopenda Nitakujibu inbox Hii ni Maalum Pekee kwa Mashabiki Wangu wa Damu #BLOODFANS Kuwa wa Kwanza uangalia Video zangu Zote Mpya na Kama Ulikosa Video Za show Zangu Zote Nimekuwekea Video Zote Kuangalia Rahisi Kabisa Fuata Link ya Blue Hapa Chini Kisha Install Kuangalia Video Nzima Bofya Hapa==>http://udaku.tzwire.stream/?p=211 share kwa wingi Leo Niko Online Nasoma Comment Zote na nitazijibu inbox zitakazokuwa nzuri..!!

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri