Friday, May 11, 2018

Kama ni kijana usipitwe na huu ukurasa

# MAANA YA KIJANA
MAANA YA KIJANA IMEFAFANULIWA NA SERA NA SHERIYA MBALIMBALI KWA NA KWAKUANZA NA SERA YA MAENDELEO YA VIJANA YA ZANZIBAR YA MWAKA #2005 VIJANA WAMEELEZEWA NI WATU WOTE(# MWANAMKE NA # MWANAUME)
WENYE UMRI KUAZIA MIAKA #15 HADI #35 SERA YA MAENDELEO YA VIJANA YA TANZANIA BARA YA MWAKA 1997 NAYO PIYA IMEFAFANUA MAANA YA NENO KIJANA KWA KUELEZA YA KWAMBA KIJA NI MTU AU WATU WENYE UMRI WA MIYAKA #15 HADI #35
HIYO BASI KUONEKANA YA KWAMBA KIPIMO NA KIGEZO CHA MSINGI KINACHO ZINGATIWA KATIKA KUFAFANUWA ANA YA NENO KIJANA KWA MUJIBU WA SERA ZOTE MBALMBALI KIMEEGEMEA ZAIDI KWENYE UMRI WA MTU AU WATU.

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji