Saturday, February 11, 2017

SOMA KWA MAKINI

SOMA KWA MAKINI!!
Kuna mtoto mmoja aliitwa DAVID , na alizaliwa katika familia moja hiv hapa mjini ARUSHA
Mama yake alimpenda mnoo na alikuwa ni shida hata kumuweka chini mda wote alipenda kumbeba , mwanae..
Siku moja mama huyo alimuacha ndani akiwa amelala na kwenda bustanini kumwagilia na kuweka maua ya nyumbani sawa....
Akiwa huko bustanini nyumba yao iliwaka moto mkubwa ulio kolea haraka mpaka madirishani moshi na moto mkubwa ulionekana .
Mama huyo alikimbia haraka kuelekea ndani ili aweze muokoa mtoto wake , alifanikiwa ingia na kumkuta mtoto akiwa hajaungua na yuko salama , kwa bahati mbaya moto ulizidi ndani ya nyumba hiyo na kwa bahati mbaya wakati anashuka ngazi ali awahi njee moto uli unguza nywele zake na kuanza kumuunguza mpaka kwenye ngozi, aliungua sehemu kubwa ya mwili wake , mama wa mtoto huyoo aliumia sanaa maana ilibidi aishi na makovu ya moto maisha yake yote...
Kijana David aliishi na kuwa mkubwa na alibahatika kuwa tajiri mmoja mkubwaa sanaa na alihamia mjini , na kumuacha mama yake mkoani MWANZA , lakini moja ya sababu ya kuhama ni kua aliogopa makovu ya majeraha ya moto aliyo nayo mama yake yalo mfanya awe mbaya na sura ya kushitua kidogo ukimuangalia kwa mAra ya kwanza ...
Watu walipo kua wakimuuliza David kuhusu mama yake alisikika akisema...
" kwa kweli hakuna mtu mbayaa wa Sura kama mama yangu kwenye familia yetu , hadi ni aibu kwangu "
Siku moja mama yake david alisikia maneno haya aliyo kua akiuasema David mara kwa mara kwa watu kwani walimwambia, aliumia sana moyoni , na alihisi kukata tamaaa ,aliamua kufunga safari toka mkoani ARUSHA hadi mkoani DAR-ES-SALAAM ,ili aweze kumuambia mwanae yaliyo tokea miaka ya nyuma mpaka ikapelekea yeye kuwa katika hali ilee...
Kwa bahati mbaya basi alilokuwa akisafiria la scand navia kwa kipindi hicho lilipata ajali ma kufa hapo hapo..
David alisikia habari ya kifo cha mama yake , habari hiyo haikumshitua bali ilimfurahishaa sana, aliwahi kwenda mpaka kijijini kwao kwa mazishi alipo fika alikuta watu wanaliaa na wengine wakiwa wamechukiaa sana kutokana na kifo hichoo kilicho huzunisha wengi ...
Aliwapita wote waliokua ktk msiba huo na kueleka moja kwa moja chumbani kwa mama yake , ili aweze chukua vitu muhimu kama hati za mali na mengineyoo muhimu , alishituka baada ya kukuta dayari ya mama yake ya zamani ikiwa na vitu muhimu katikati kama hati za nyumba na viwanjaa , ilikua imeandikwa......
Tarehe 4-6-1980 ,nilitangazwa kuwa miss Tanzania , niliweka historia kwa uzuri na kushinda kwa kura nyingi..
Tarehe 4-7-1982 , mume wangu Tonny Charles alifariki akaniacha nina mimba ya miezi 6 ya David...
Tarehe 6-6-1983 , nilimuokoa Mwanangu pekee niliempenda kwa moyo wote kutoka kwenye ajali ya moto iliyo unguza nyumba yetu na kutuacha wakiwa hatuna hata pakulala , nimebakia na makovu ya moto kila eneo la mwili , kila nikijiangalia usoni jinsi nilivyo haribika namshukuru MUNGU kumsave mwanangu David ...amjalie maisha marefu maana yeye ndio furaha yangu iliyo bakia duniani....
David alijisikia vibaya mnoo na alianza kuliaa kama mtotoo huku akijigala gaza chini kama chizii .... IT WAS TOO LATE ! TOO LATE...!!
SOMO
Usije kuwatelekeza na kuwatukana au kuwadharau wazazi wako kwa namna yeyote ile , huwezi jua wamepitia shida ngapi kuku kuza na kukutunza , WAO NI BARAKA uliyo pewA na Mungu maishani mwako na utaliaa mnoo siku ukiwapoteza.

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri