Saturday, February 4, 2017

MSKIE TINGA TIGA

"Umemshika mtu na jino la Tembo unasema upelelezi unaendelea unataka umshike na nini tena, umemshika na madawa ya kulevya upelelezi unaendelea na saa zingine yale madawa yakifika kwa Mkemia Mkuu yalikuwa madawa ya kulevya yanageuza yakawa mihogo ya kutoka Sumbawanga" Rais Magufuli
Toa maoni yako

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji