Junior anemia sungura ni miongoni mwa vijana wataftaji katika kuweza kupata kipato ili kuweza kujikwa mua kimaisha anapenda kuwaasa vijana wezeke wewe katika msimamo juu ya swala zima lakutafuta maisha kwa ajili ya kuondowa zana ya kuajiriwa kwani hata hivyo piya tunaweza kuipunguzia mzigo wa ukosefu wa ajira serekali ya mapinduzi ya Zanzibar juu ya swala zima la ajira.
No comments:
Post a Comment