Sunday, September 20, 2015

KATIKA UBORA WA MIAKA50

Serekali ya mapinduzi ya Zanzibar imefurahi sana kuweza kukamilisha miaka hamsini ya mapinduzi ya Zanzibar kuweza kufungua mnara huu siku za nyuma zilizo pita ni ukumbusho kwa wale ambao hawaja huzuria kwa sababu malumu ya kibinafasi hili ni eneo la ndani ya mnara.

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri