Mchango wa mzazi wa kiume katika familia umebadilika katika mataifa mengi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita. Kwa kawaida mwanaume anategemewa kutoka nyumbani na kwenda kutafuta kwa maslahi ya familia yake. Daima baba hakutarajiwa kuangalia watoto wala kufanya kazi za nyumbani. Lakini hilo limebadilika na mtazamo kuhusu uzazi unabadilika. Familia zimeanza kuwa watoto wachache na mchango wa baba hivi sasa unemshirikisha zaidi katika malezi kuliko ilivyowahi kuwa. Je nini maoni yako kuhusu hilo?
No comments:
Post a Comment