Wednesday, September 23, 2015

ETHIOPIA YAZINDUA HUDUMA MPYA YA RELI

Ethiopia imezindua huduma mpya ya reli jijini Addis Ababa. Mradi huo umegharimu dola milioni 470 na ni treni ya kwanza inayotumia umeme mtupu katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara.

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri