Friday, September 25, 2015

JE VIPI UTAEPUKANA NA MIMBA ZA UTOTONI

JE WAIJUA ATHARI YAKE? KUFELI KIMASOMO ,KIMAISHA, MIMBA YA ZA UTOTONI, NDOA ZA HARAKA BILA YA KUFIKA WAKATI WAKE, KUBADILIKA KIMADILI, KUWADHARAU WAZEE, MWISHO WA YOTE KUPATA MARADHI YA YASIO NA TIBA INSHALLAH MUNGU ATUEPUSHIE VIJANA NA PIA DADA ZETU NDUGU ZETU MUJITAMBUE ILI MUJUI UMUHIMU WENU KATIKA MAISHA TAHADHARI USIPOTEZE DIRA YA MAISHA YAKO KWA TAMAA AU KITU CHOCHOTE CHA THAMANI.

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri