Friday, September 25, 2015

EWE MWANA DAMU MKUMBUKE MOLA WAKO

Tunakumbushana waumini kuwa tusisahau safari ipo wala haighairiki "EVERY SOUL SHALL HAVE A TASTE OF DEATH"
Je umejiandaaje?
Anapolazwa mtu katika kaburi lake kaburi humsemesha,"Ole wako mwanaadamu.....,Ni kitu gani kilichokushuhulisha hata usikae ukanikumbuka? hukujua kama mimi ni nyumba ya mateso,nyumba ya giza,nyumba ya upweke na ni nyumba ya funza? Nini kilichokushuhulisha....,
kazi kwetu ikiwa amali zako nzuri ndizo zitakazokuokoa na kaburi litakua ni sehemu ya bustani yako, laa kama ni amali zako mbaya za uovu kaburi lako litakua ni shimo la moto.
Atakapozikwa maiti, humjia malaika wawili weusi sana,macho yao ni mfano wa masufuria meusi sauti zao ni kama mfano wa radi, watakukalia mbele wakikuuliza yale uliokua ukiyabudu(ukiya
fanya duniani)
Mpe salamu na mwenzako kama leo tunskumbushwa kua ile safari ipo haijaghairika ni lazma tu hata tufanyeje.
Allah atuhifadhi
Allah atuswameh makosa yetu
Allah atupe mauti ya salama na atupe kauli thabit
Allah awarehemu walimu wetu na wazazi wetu na waislam wote kwa ujumla.

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji