Mke wa Mbunge wa Jimbo la Kitope Mama
Asha Suleiman Iddi akiwashauri wana CCM, wa Matawi ya Jimbo hilo
kuanzisha madarasa ya maandalizi ili kuwaondoshea usumbufu wa elimu
watoto wao.
Kushoto ya Mama Asha ni Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
No comments:
Post a Comment