Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan
nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015. Balozi Okada alifika ofisini
kwa Makamu kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini. Picha na OMRTuesday, March 3, 2015
Dk Bilal aagana na Balozi wa Japana anaemaliza muda wake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan
nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015. Balozi Okada alifika ofisini
kwa Makamu kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini. Picha na OMR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Ili kuweza kuweza kumlainisha mpenzi wako chumbani ni lazima umnyenyeke yeye kama yeye na maneno malaini kama..,...............................
No comments:
Post a Comment