Wednesday, February 22, 2017

SHERIA YAFATA MKONDO WAKE NAYMAR APANDISHWA KIZIMBANI SOMA ZAIDI

Mchezaji wa Barcelona Neymar na klabu yake wanakabiliwa na mashtaka ya ufisadi kuhusiana na uhamisho wake kutoka timu ya Santos ya Brazil, baada ya rufaa yake kupingwa.
Kesi hiyo itokana na malalamiko kutoka kwa kundi la uwekezaji la Brazil DIS, ambalo lilimiliki asilimia 40 ya haki za uhamisho wa Neymar.
Kundi hilo linadai kupokea pesa kidogo kinyume na matarajio yao wakati Neymar alipojiunga na Barca kutoka Santos kwa kitita cha pauni milioni 49 mwaka 2013.
''Klabu ya Santos FC, mamake Neymar Nadine Goncalves, na kampuni ya familia ya N&N inayomilikiwa na wazazi wa mchezaji huyo mweye umri wa miaka 25 pia watakabiliwa na mashtaka ya ufisadi na kutumia udanganyifu,'' mahakama kuu ya Uhispania imesema katika taarifa yake.

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri