Serikali ya Tanzania imesema itaitaka Ujerumani kulipa fidia
Serikali ya Tanzania imesema itaitaka Ujerumani kulipa fidia juu ya vifo vya maelfu ya watu wanaodaiwa kuwa waliachwa na njaa, waliteswa na kuuawa na askari wa Ujerumani wakati Taganyika ilipotawaliwa na Wajerumani enzi za ukoloni. Wasemaje?
No comments:
Post a Comment