Jinsi ya Kumfanya Mwanamume Apagawe na
Penzi Lako
LEO nimependa kuongelea kuhusu namna ya
kudumisha penzi iwapo wewe umeolewa hasa
kwa kina mama ambao penzi lao ninaelekea
kuyeyuka. Na bila jitihada za hapa na pale penzi
lako na mumeo linaweza kunyauka kabisa!!! Na
ukumbuke wahenga walisema PENZI ni MAUA
kuna kuchanua na kunyauka. Na penzi
linaponyauka huwa yanatokea maumivu makali
sana ndani ya moyo, maumivu ambayo hayana
kifani. Sasa ufanye nini ili penzi lako lisinyauke?
Zingatia yafatayo:
i) Hakikisha unakuwa karibu na mumeo
ii) Mumeo akirudi kutoka safarini au kazini
mupokee kwwa mabusu na upendo wa hali ya juu
iii) Kama utakuwa na nafasi jitahidi kumuandikia
msg mumeo za upendo na kumfariji
iv) Na mwisho kumbuka kuwa munapokuwa
katika sita kwa sita jitahidi kutoa sauti ya
mahaba huku ukijitahidi sana kumpa penzi
kutumia ujanja wako, na kama atamaliza
mwambie "POLE MUME WANGU"
Like page hapo juu na Share na wengine wajifunze
Friday, February 10, 2017
Raha ya mke na mume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI
Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri
-
Ili kuweza kuweza kumlainisha mpenzi wako chumbani ni lazima umnyenyeke yeye kama yeye na maneno malaini kama..,...............................
No comments:
Post a Comment