Ziara ya kuimarisha chama
Maalim seif sharif hamad katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF na rais wa nyoyo za wazanzibari
Akiongea na raia wake waliompa kura nyingi tarehe 25 Oktoba 2015. Muda huu tukiwa Bumbwini kaskazini B Unguja, Zanzibar.
Kila uendapo nasi tupo nawe bega kwa bega
#Sambamba
No comments:
Post a Comment