Raymond Tomlinson, aliyevumbua barua pepe (e-mail) na mwanzilishi wa matumizi ya alama (@) kutenganisha jina la mtumiaji na jina la mashine, amekufa kutokana na mshtuko wa moyo tarehe 5 Machi, akiwa na umri wa miaka 74, Raytheon Company alipo fanyakazi ilitangaza Jumatatu.
Tomlinson alikuwa raia wa Marekani ambaye aliandika programu za kompyuta na kutuma ujumbe wa kwanza wa barua pepe katika mtandao mwaka 1971.
Wednesday, March 9, 2016
Raymond Tomlinson
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi Summary Ni nyakati ambazo Rais John Magu...
No comments:
Post a Comment