Sunday, March 13, 2016

Baada ya Elizabeth Michael

Baada ya Elizabeth Michael (Lulu) na Richie Mtambalike kushinda tuzo za filamu nchini Nigeria, baadhi ya mashabiki wamesema Ray Kigosi amelala sana toka Kanumba amefariki.
Ni kweli Ray Kigosi amelala?

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji