Habari wadau hamjambo?
Ndugu naomba tuangazie mambo haya mawili maana yametatiza watu wengi. 1:,pombe 2:,penzi. Katika upande wa wanaume:_kati ya demu na pombe, kipi kinachoweza kushika chart kuzidi kingine? Nambie mdau". Na katika upande wa wanawake:_ mchumba wako ama mme wako akipenda pombe kuzidi penzi lako, yaani badala ya penzi lako kulithamini anathamini pombe, ewe kama mwanamke mpenzi akifanya hivyo, utafanya nini?....... Naomba maoni yenu wadau,..
Wednesday, September 23, 2015
STORRY ZA MAPENZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi Summary Ni nyakati ambazo Rais John Magu...
No comments:
Post a Comment