Chama cha waziri mkuu wa Ugiriki, Alexis Tsipras, Syriza kinatarajiwa kuandikisha ushindi katika uchaguzi mkuu wa 5 katika kipindi cha miaka 6 iliyopita.
Syriza inaongoza ikiwa na asilimia 35% ya kura zilizohesabiwa huku New Democracy ikishikilia nafasi ya pili kwa kura 28%.
Kufikia sasa thuluthi moja ya kura ndizo zimehesabiwa kwa mujibu wa wizara ya maswala ya ndani.
Sunday, September 20, 2015
KUTOKA BBC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Ili kuweza kuweza kumlainisha mpenzi wako chumbani ni lazima umnyenyeke yeye kama yeye na maneno malaini kama..,...............................
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi Summary Ni nyakati ambazo Rais John Magu...
No comments:
Post a Comment