Wednesday, September 30, 2015

Arsenal na Chelsea zaambulia patupu Uefa

Kilabu za Uingereza ziliendelea kuandikisha matokeo mabaya Ligi ya Kilabu Bingwa Ulaya baada ya Arsenal na Chelsea kushindwa kwenye mechi zao Jumanne usiku.
30 Septemba 2015
Uefa:Klabu bingwa ulaya kuendelea leo
Ligi ya mabingwa ulaya itaendelea kutimua vumbi leo kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja tofauti
30 Septemba 2015
Ligi kuu Tanzania kuendelea leo
Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea tena leo kwa timu 14 kujitupa katika viwanja saba nchini.
29 Septemba 2015
Mourinho adai Diego Costa anaonewa
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amedai mshambuliaji wake Diego Costa amekuwa akionewa na maafisa wasimamizi wa soka.
29 Septemba 2015
Epl: Everton yaitambia West brom
Klabu ya soka ya Everton imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya West Bromwich Albion katika mchezo wa ligi kuu ya England
28 Septemba 2015
Kriketi: Kocha wa West Indies atimuliwa
Timu ya Kriketi ya West Indies imemtimua kocha wake mkuu Phil Simmons baada ya kushutumiwa kuchagua timu vibaya
28 Septemba 2015
Majeraha yamuandama Sharapova
Nyota wa tenesi Maria Sharapova ameendelea kuandamwa na majeraha kwenye michuano ya wazi ya Wuhan huko China
28 Septemba 2015
Blatter asema hatojiuzulu FIFA
Rais wa shrikisho la soka duniani Sepp Blatter amesema kuwa hatojiuzulu wadhfa wake licha ya mashtaka ya uhalifu yanayofungiliwa dhidi yake na wachunguzi wa Uswizi.
28 Septemba 2015
Sunderland kumrudia Vieira?
Kilabu ya Sunderland nchini Uingereza inayokumbwa na utata kwa sasa inadaiwa kutaka kumrudia Patrick Vieira iwapo Dick Advocaat atajiuzulu.
28 Septemba 2015
Wenger:Olympiakos haina ushindani Ugiriki
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anaamini kwamba Olympiakos inasaidiwa katika kampeni yake ya mechi za kilabu bingwa barani Ulaya kutokana na ukosefu wa ushindani katika ligi yao.
28 Septemba 2015
Habari kuu
Rais wa Nigeria kuwa waziri wa mafuta
Rais mpya wa Nigeria Jenerali Muhammadu Buhari atahudumu pia kama waziri wa mafuta.
30 Septemba 2015
Mchango wa vibonzo katika uchaguzi Tanzania
30 Septemba 2015
Ukimwi:WHO imetoa muongozo mpya wa matibabu
30 Septemba 2015

No comments:

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji