Wednesday, July 29, 2015

AMKA NA BBC NDOGO

Usiku huu katika Dira TV, Uchunguzi wa BBC umegundua kwamba kwa miaka mingi, watu, hasa wanawake wamekua wakisafirishwa ki magendo kutoka mataifa yao kwa kuahidiwa ajira na maisha bora lakini baada ya kufikishwa mataifa ya nje hujikuta wakilazimishwa kufanya kazi za utumwa na kunyanyaswa kijinsia. Je una uzoefu wowote kuhusu hili? au unamjua mtu yeyote aliyeathirika katika njia hii?

No comments:

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri