Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika
utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa miezi 9 kutoka Julai -Machi
2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo.

wa Wizara ya Afya ukiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi
wa miezi 9 kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu
Mjini Unguja leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein (katika
No comments:
Post a Comment