Balozi Seif Atembelea Shamb
a la Kilimo Makurunge Bagamoyo.
Meneja
wa Shamba la Chuo cha Kilimo Kizimbani liliopo Makurunge Magamoyo Nd.
Abdulrahman Mahmoud Hamid akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif wakati wa ziara yake ya kulikagua shamba la SMZ
waliokabidhiwa chuo hicho.
Nyuma
ya Balozi Seif ni Waziri wa Ardhi Zanzib ar Mh.Abdulla Shaaban, Waziri
wa Kilimo Zanzibar Dr. Sira Ubwa Mwamboyta na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ardhi Nd. Ali Khalil Mirza.

No comments:
Post a Comment