Bi Mwanaid Vuai Saleh akiwa ameathirika kiasi hicho kama
anavyoonekanav pichani akiwa katika hospitali ya Jeshi Bububu Unguja
akiendelea na Matibabu yake akisubiri misaada ya Wasamaria wema ili
kupata kusafirishwa nje ya nchi kupata matibabu zaidi ili kurudisha hali
yake kiafya.
Kwa sasa amepata baraka zote kutoka Ofisi ya Mufti Zanzibar kupata missada kama inavyosomeka hapo chi
No comments:
Post a Comment