Friday, January 8, 2021

TUNA SAMBAZA MATUNDA NA VYAKULA

HABARI ZA HIVI PUNDE

Jukwaa linalojulikana kama UID litahusisha matumizi ya teknolojia na nyenzo zingine kuhakikisha kuwa takwimu za matokeo ya uchaguzi kutoka sehemu mbalimbali nchini Uganda yanahakikiwa ipasavyo. Hii ina maana kuwa wawakilishi wa vyama vyote vya kisiasa kwenye kituo watashirikiana katika kutoa taarifa kuhusu hali ilivyo kuanzia mwanzo hadi mwisho hasa wakifuatilia vitendo ya ukiukaji wa haki za binadamu.
-
-
Mwanasiasa mkongwe Paul Semwogerere aliyewahi kuwania kiti cha urais mwaka 1996 dhidi ya rais ndiye mratibu wa jukwaa hilo. Daktari Kizza Besigye ambaye amewahi kugombea kiti cha urais mara nne na kushindwa na rais Museveni amekanukuliwa kwamba ijapokuwa upinzani ulishindwa kuungana kuwa na mgombea mmoja, muungano huu ni muhimu sana kuweza kukabiliana na jaribio lolote la wizi wa kura.
-
-
Vyama vya upinzani nchini Uganda wameungana kuwa na kituo chao kimoja cha kuhesabu kura katika uchaguzi mkuu, vyama hivyo ni NUP, FDC, JEEMA,DP,ANT na mgombea wa kiti cha urais wa kujitegemea Jeneri Henery Tumukunde na Dk.Kiiza Besigye wa serikali ya wananchi. Mwenyeti wa chama cha Jeema anaelezea kwani wameamuwa kuwa na kituo chao kwasababu tayari chama tawala cha NRM kimetangaza kuwa watakuwa na kituo chao tofauti na tume ya uchaguzi lakini wenye kutangaza matokeo ni tume ya uchaguzi.
(Bbc Swahili

ENGEZA HAMU YA CHAKULA MAMII PILI PILI

Zipo katika ubora wa 100% nitamu na yenye laza nzuri 

PAY AFTER WINNING TSH 10,000

 

Monday, November 16, 2020

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi

Saturday, October 24, 2020

MAGUFULI ATOWA HUTBA NJEMA KWA CCM

Mimi sitokuwa Rais wa Maisha lakini natoa ujumbe kwa ambao watakuja katika Maisha ya leo na baadaye hili liwe fundisho, hata Nchi zilizoendelea Mashirika yao ya Reli hawajabinafsisha, ibaki kuwa ndani ya Serikali na huduma itawafikia wanyonge “- Rais Magufuli 
-

YAJAYO NI NEEMA TUPU

Mabalozi wapeni wananchi matumaini kuwa yale yote ninayoongea yanatoka moyoni mwangu. #kurakwamwinyi #mwinyi2020 #yajayonineematupu

SIKU YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VIJANA

Mkuu wa wilaya amewataka v ijana kuweza kupa mbana na o vitendo vya Uzalilishaji